Tafuta
-
-

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbwaruki, Kilimanjaro (1000 sqm)

video thumbnail
Sh. 100,000,000

Huduma na Sifa

Maelezo

NYUMBA BADO IPOOO

NYUMBA NZURII SANA INAUZWA MOSHII 🔥

Location; MBWARUKI, Kilometer 1.5 kutoka barabara Kuu ya Moshi - Dar

Nyumba Ina Vyumba 3 vya kulala vikubwa(2 ni master.
Jiko kubwa
Sebule kubwa kabisa
Dining
Choo&bafu public
Stoo
Baraza kubwaa 2
Ukuta mzuri na gate
Parking kubwa na eneo la wazi.
Ukubwa wa kiwanja ni 20/50

Umeme na Maji yapo 24hrs
Nyumba imekamilika kwa %100

PRICE NI MILIONI 100 TU!!! Maongezi yapoo

Maelezo zaidi nichek 0717916034 whatsup / 0753146004

Matangazo yanayofanana Mbwaruki, Hai, Kilimanjaro

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbwaruki, Kilimanjaro

Sh. 100,000,000

  • Umeme

  • Maji

  • Parking Space