Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Msigani, Dar Es Salaam (500 sqm)

Msigani, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 110,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Ukubwa
500 SQM
Barabara ya Karibu
500m
Huduma na Sifa
Maelezo
Inauzwa ipo msigani mtaa wa nyakasangwe kata ya wazo km 5 kutoka lami ya Goba tegeta kibaoni na mita 500 kutoka barabara inayotengenezwa kwa ajili ya kuwekwa lami ina vyumba vitatu kimoja masta sebule jiko diining stoo na public toilet eneo lake ni sqm 500 lipo kwenye barabara ya mtaa na ina frem mbele ya biashara milioni 110 maongezi yapo 0714539608
0762089247


