Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Muongozo, Kigamboni, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
1200 SQM
Barabara ya Karibu
500m
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONIMUONGOZO 🏡
Fursa nzuri ya kumiliki nyumba ya kifahari katika eneo tulivu na linalokua kwa kasi!
✨ Sifa za Nyumba:
* Vyumba 3 vya kulala, vyote Master
* Sebule kubwa
* Dining
* Jiko la kisasa
* Servant Quarter yenye vyumba 2, sebule na jiko
* Full AC
* Electric Fence
* Garden nzuri
* Full Paving
📐 Ukubwa wa Eneo: SQM 1,200
📜 Hati ya Wizara (Title Deed)
📍 Mahali:
* Mita 500 kutoka barabara kuu ya lami
* Kilomita 12 kutoka Ferry
* Kilomita 11 kutoka Daraja la Nyerere
💰 Bei: TZS Milioni 249 (Mazungumzo kidogo yapo.)
Usikose fursa hii ya kumiliki nyumba bora yenye mazingira mazuri, usalama wa hali ya juu na miundombinu mizuri.
📞 0769554221
📍ServiceCharge 30,000
#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio















