Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
MUHITAJI AKIJA ATAONA MBAKA NDANI. NYUMBA INAUZWA – TABATA SEGEREA 🏡 Nyumba nzuri inauzwa eneo la Tabata Segerea, ipo kwenye mazingira tulivu na yanafikika kwa urahisi. 🏠 Maelezo ya nyumba kuu: * Vyumba 3 (kimoja master) * Sebule * Dining * Jiko * Choo cha public 🏡 Nyumba ya nje (self-contained): * Ina master na jiko * Inapangishwa kwa TSH 200,000 kwa mwezi 💰 💧 Maji ya DAWASCO pamoja na kisima yapo 📍 Takriban dakika 10 kutoka kituoni ✔️ Barabara nzuri, panafika bila shida ✔️ Huduma zote za kijamii zinapatikana karibu 💸 Bei: TSH 90,000,000 (mazungumzo yapo) 💼 Service charge: TSH 30,000 👉 Nunua ukae na familia yako au uwekeze kwa kupangisha na uendelee kuingiza kipato kila mwezi.














