Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea Sheli Oil Com, Dar Es Salaam (270 sqm)

Sh. 42,000,000

Maelezo

🏠 NYUMBA INAUZWA – TABATA SEGEREA SHELI OIL COM

📍 Ipo mtaa mzuri sana, Tabata Segerea Sheli Oil Com
🚶 Umbali wa dakika 7 kwa miguu kutoka barabara kuu
💰 Bei: Milioni 42 – Maongezi yapo!
📐 Ukubwa wa kiwanja: SQM 270
📄 Full Documents

Nyumba ipo eneo zuri na salama, gari linafika mpaka site na kuna nafasi ya parking 🚗

✨ Ina:
🛏️ Vyumba 3 vya kulala
🚿 Vyumba 2 ni Self Contained
🛋️ Sebule na Dining Room
🍳 Jiko
🚽 Public Toilet ya ndani

📌 Service Charge: Elfu 30 tu kuja kuona site

Kwa maelezo zaidi au kupanga muda wa kwenda kuona nyumba:
📞

DALALI BEDA | NYUMBA TABATA

dalalibeda_tabata1

@dalalibeda_tabata1

View Listings

Matangazo mengine Segerea, Dar Es Salaam

DALALI BEDA | NYUMBA TABATA