Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ubungo Makoka, Dar Es Salaam (450 sqm)




Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
450 SQM
Barabara ya Karibu
2km
Maelezo
Hii nyumba kubwa sanaa ya familiar alijenga aishi mwenye nyumba mwenyewe inauzwa milioni 85 maongezi nyumba ni mpya kabisa
Nyumba nzuri kubwa ina vyiumba 3 kimoja master kubwa siting room kubwa na dinning jiko store kubwa
Nyumba nzuri sanaa fika saiti ujionee ndani ilivo decorection za maana zimefanyika ndani hapo mchawi kiyoo tu na rangi ya nnje izidi kuvutia zaidi
Location ubungo makoka kwa mkua km2 kutoka ubungo external au kimara korogwe mwendo kasi barabara ni lami hadi nyumbani
Nyumba INADOCOUMENT HALALI ZA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI ZA MTAA
Ukubwa wa eneo square mita 450
Wai ndugu mteja nyumba imekaa sehemu nzr sanaa
SEVCHAGE 30000 kwenda Kuona saity za kununua
Mawasiliano 0656623510
WSP 0752436347















