Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Africana, Dar Es Salaam
ID: 260906SRYAR

Mbezi Beach Africana, Dar Es Salaam
49 minutes ago
Sh. 250,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba hii ni kubwa
Ukubwa ni vyumba viwili kulala kimoja ni masta
Sebule ipo kubwa
Jiko lipo kubwa
Luku yako pekeyako
Maji mita yako pekeyako
Kodi sh laki 250 //š
Ilipo njia ya mbezi bechi kituo cha afrcana š
#















