Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba Sentar, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba inapangishwa vyumba viwili vya kulala kimoja master bedroom public toilet jiko zuri Sana
Bei laki tano kwa mwezi kodi miezi6 tu
Huduma maji na umeme unajitegemea
Nyumba ipo goba sentar kutoka lami dakika 3tu
Nipigie simu 0695511662















