Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba Tegeta A, Dar Es Salaam

Maelezo
📍PIGA SIMU CHAP📍Kwa hiyo Bei Unaiachaje Kwa Mfano hembu fanya kuwahi tumalizane
✔️Nyumba ya vyumba Viwili(kimoja master)
✔️Sebule
Jiko
350,000/= MIEZI 3
GOBA TEGETA A
MAWASILIANO
0682 402 327 📶
0653 267 999 📶 ya WHATSSAP
Service charge 20,000/=















