Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 700,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Location kigamboni kisiwani
Kodi 700000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 20000 kuona nyumba
Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yako
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali pilipili















