Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
Huduma na Sifa
Maelezo
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 10
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20 UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA ZA NYUMBA
==============
hapa kuna BEI 3
tofauti
vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA YAKE
( 400,000)
X 6
NYUMBA YAPILI
==============
vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YAKE
(350,000)
X 6
NYUMBA YATATU
vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YAKE
(300,000)
X 6
CALL
WHATSAPP