Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
1.5km
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
320,000 x6. Call.
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA STOP OVER
UMBALI KM 1 .5
Ipondani ya fence parking kubwa sana
-------boda boda 1000
Seble kubwa sana
Vyumba viwili vya kulala kimoja master
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 20,000/
Kodi 320,000/=×6
--------
Nb
07/06/2026 NDOITAKUWA WAZI
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 320,000
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347















