Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Kibanda Cha Mkaa, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 320,000/month

Maelezo

NYUMBA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 320,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/05/2026 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

💥NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA NDANI NA PIA KUNA JIKO KUBWA LA NJE
PUBLIC TOILET
PARKING KUBWA
PAVING
GARDEN

BEI NI 320,000/= X 6

NYUMBA HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA

DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KUONA NYUMBA

MAWASILIANO
###0688617926
0655256419

Matangazo yanayofanana Mbezi, Dar Es Salaam

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Msuguri, Dar Es Salaam

Sh. 100,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Karibu na Barabara

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Magufuli Kwa Yusuph, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

  • Air Conditioning

  • Public Toilet

  • Dining

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach Tankbovu, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

  • Umeme

  • Luku Inajitegemea

  • Parking Space

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Magufuli Kwa Yusuph, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

  • Air Conditioning

  • Public Toilet

  • Dining

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Luguruni, Dar Es Salaam

Sh. 100,000/month

  • hasMasterBedRoom

  • Open Kitchen

  • Luku Inajitegemea

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Magufuli Kwa Yusuph, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

  • Air Conditioning

  • Public Toilet

  • Dining

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Magufuli Kwa Yusuph, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

  • Air Conditioning

  • Public Toilet

  • Dining

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Magufuli Kwa Yusuph, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

  • Air Conditioning

  • Public Toilet

  • Dining