Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Miganga Ya Mwanzo, Dodoma

Aina
Nyumba
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
700m
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 STAND ALONE HOUSE INAPANGISHWA – MIGANGA YA MWANZO, DODOMA 🏡
📍 Mahali: Miganga ya Mwanzo
💰 Kodi: Tsh 300,000/= (Malipo ya miezi 6)
✨ Muundo:
🛏️ Vyumba 2 vya kulala
🛋️ Sebule
🍽️ Jiko
🚿 Bafu na Choo
📌 Faida za Eneo:
✅ Mita 700 tu kutoka Barabara ya Lami
✅ Kilomita 1.5 kutoka SGR Station
✅ Eneo tulivu na salama, linafaa kwa makazi ya familia.
📞 Mawasiliano:
0787037986
0757037986
Karibuni Bupalu Real Estate
Tunakupatia nyumba bora kwa makazi na uwekezaji.















