Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba ya vyumba 2 sebule jiko choo inapangishwa bei 500.000 kwa mwez mahali sinz malipo miez 6 Na dalali 7 karibu Sanaa ofisini kwetu sinza LEGO umeme na maji mita yako parkingi ipo garama ya kupelekwa Ni sh 30000















