Tafuta

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni Mji Mwema, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 88,000,000

Maelezo

🏑 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI MJI MWEMA (KIBUGUMO), DAR ES SALAAM

Unatafuta nyumba nzuri yenye eneo kubwa kwa ajili ya kuishi au uwekezaji? Hii ni fursa yako!

πŸ“ Mahali: Kigamboni Mji Mwema – Kibugumo
πŸ“ Ukubwa wa kiwanja: Sqm 800
πŸ’° Bei: TSh Milioni 88 (Mazungumzo kidogo yapo)

Sifa za nyumba:
🏠 Vyumba 2 vya kulala
✨ Imejengwa kwa kiwango cha kisasa (standard)
βœ… Dari za Gypsum
βœ… Madirisha ya Aluminium
⚑ Umeme umefika
πŸ’§ Maji yapo pamoja na kisima cha maji
πŸšͺ Ina geti tayari
πŸ›£οΈ Inagusa barabara ya mtaa
πŸ“ Umbali wa mita 500 tu kutoka barabara ya lami.

Faida ya ziada:
🌟 Eneo ni kubwa kiasi kwamba unaweza kujenga nyumba nyingine kubwa au hata ghorofa ya hadi vyumba sita kwa ajili ya uwekezaji wa kupangisha.

#0788377773
#0759415833
#0791377773

#welcome #kipekarealestateβœοΈπŸ‘πŸ˜οΈπŸ πŸ˜οΈπŸοΈπŸŒƒπŸ™οΈπŸŒ„πŸŒΏπŸ₯€πŸŒπŸŒ‡πŸš•πŸš–πŸš˜πŸ£πŸ•οΈπŸ¬πŸ€βœˆοΈπŸ›©οΈπŸšπŸ›₯οΈπŸ“žβ˜ŽοΈπŸ’»πŸ–₯οΈπŸ“²πŸ”‘πŸ”‘πŸ”‘

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 85,000,000

For Sale3 beds2 baths400 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 85,000,000

For Sale4 beds1 bath400 sqmhouse