Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mkundi Sheli, Morogoro


Maelezo
NYUMBA INAUZWA MKUNDI SHELI, MOROGORO MJINI
𝐁𝐄𝐈 : MILLION.15 TU
Fursa nzuri ya kumiliki nyumba katika eneo la Mkundi Sheli, upande wa kushoto ukitokea Msamvu kuelekea Dodoma Road.
✅ Vyumba 2 vya kulala
✅ Sebule na huduma muhimu
✅ Boma pembeni lenye room 2 tayari kwa kuendelezwa
✅ Eneo la kuweka uzio limebakia
✅ Umeme na maji vinapatikana kwa uhakika
✅ Nyaraka halali za umiliki kutoka Serikali za Mitaa
✅ Mazingira mazuri na salama kwa makazi
𝐍𝐁: Site visit fees 30,000/=
Kwa mawasiliano na kupanga kutembelea eneo
: 📞 0678 517 158 /📞 0785 517 158
Usikose nafasi hii ya kupata nyumba kwa bei nafuu ndani ya Manispaa ya Morogoro!.















