Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Pugu, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
Sh. 9,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

Nyumba INAUZWA PUGU
📌BEI MIL 9 tu
Vyumba VIWILI kimoja masta na sebule
Ipo karibu na Barabara
Unatembea Dk 3 Kwa miguu
Gari moja tu had mjini
Parking ipo
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Whatsap au piga 0673 601 114