Nyumba/Apartment (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,750,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Samani

Ndiyo

Maelezo

Apartment Inapangishwa

Fully Furnished(Ina Kila Kitu Ndani)

Mahali : Mbezi Beach(Almas Street), Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿

Ina :

🟢 Vyumba Vitatu Vya Kulala(Vyote Masta), Sebule , Dining , Jiko , Choo Cha Public

🟢 Inajitegemea Kwenye Umeme

Ina Ac ,Heater

Nyumba ni #mpya

Kodi : 1,750,000 Tshs Kwa Mwezi

Kwa Mawasiliano Zaidi:-

Dm: dalali_mbezi_beach_godfrey1

062558