Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 150,000

Aina

Nyumba

Maelezo

APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI

Chumba cha kulala sebule choo na jiko

Kodi 150,000 kwa mwezi × 4

Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikoni

Ndani ya fence parking IPO

Dakika 10 kwa miguu kutoka Morogoro road bodaboda 1000

Kupelekwa kuona nyumba elfu 20

PIGA SIMU 0789049684

Tafuta unachotaka Kibamba, Ubungo, Dar Es Salaam