Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 220,000

Aina

Nyumba

Maelezo

APARTMENTS MPYAAAAA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE

Chumba sebule Choo jiko

Kodi 220,000 Kwa mwezi × 6

====

Umbali KM 1.5 Lami Kwa Lami Hadi nyumbani Bajaji 500 bodaboda 1000. Kama nimtu wa mazoezi unatembea mdogo mdogo unafika

===

Kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon, ndani ya fence parking ya kutosha

===

Kupelekwa kuona nyumba elfu 15

==

0715949085
0782838336

Tafuta unachotaka Kibamba, Ubungo, Dar Es Salaam