Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kiluvya, Pwani







Kiluvya, Kisarawe, Pwani
3 months ago
Sh. 250,000
Aina
Nyumba
Vyumba
2
Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #250K
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 6 ( miezi 6 no discount)
Umbali Dakika 8 Kwa mguu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
PIGA SIMU 0789049684
