Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 20,000

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI DK 15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Full security
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-----
Service charge 20,000
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja
------
Contact:
0654101710
0787205300


EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA