Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam


Huduma na Sifa
Maelezo
Apartments zinapangishwa, zipo Madale Mivumoni
Vyumba viwili vya kulala master, Ac Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni 700,000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
0784234971
Karibuni sana















