Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Maelezo
🏡 APARTMENT FOR RENT – MBEZI BEACH (NYUMBA YA LAMI) 📍
✅ Airbnb Allowed
📍 Location: Mbezi Beach – Nyumba ya Lami
✨ Modern • Comfortable • Secure Living
🔑 PROPERTY FEATURES
🛏️ 2 Bedrooms (Zote ni Self-Contained)
🛋️ Sebule kubwa yenye nafasi ya kutosha
🍽️ Jiko la kisasa lenye Built-In Cabinets
❄️ Air Conditioning katika vyumba vyote
🚘 Maegesho ya kutosha
🏡 Compound salama na inayotunzwa vizuri
⚡ UTILITIES
💡 Umeme (LUKU) – Meter ya Kujitegemea (Mpangaji analipia mwenyewe)
🎁 FREE SERVICES INCLUDED
💧 Water Supply Included
🧹 Compound Cleaning Services
🛡️ Ulinzi wa Saa 24/7
💰 RENTAL DETAILS
🏠 Kodi: TZS 1,500,000 kwa Mwezi
📅 Malipo: Miezi 6 Mbele
📌 SERVICE CHARGES
👀 Viewing Fee: TZS 30,000 (Malipo ya mara moja hadi upate nyumba.)
🤝 Brokerage Fee: Sawa na Kodi ya Mwezi 1 (Hulipwa tofauti.)
📲 FOR VIEWING & INQUIRIES
📞 Call / WhatsApp: 0744 701 813
✨ Furahia maisha ya kisasa katika apartment yenye vyumba vyote Self-Contained, mazingira salama, huduma bora na Airbnb inaruhusiwa. Chaguo bora kwa makazi au uwekezaji wa Airbnb katika eneo la Mbezi Beach, karibu na barabara ya lami.
📍 Follow @nyumbatz3 kwa apartments, nyumba na viwanja vipya vinavyopatikana kila siku.
#MbeziBeach #AirbnbAllowed #ApartmentForRent #DarEsSalaam #HouseForRent RentalTZ NyumbaZaKupanga NyumbaTz3 RealEstateTanzania ModernLiving LuxuryApartment DarRentals















