Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 400,000/month

Maelezo

Apartment nzuri sana inapangishwa bei 400000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6, ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom, sebule, jiko lenye makabati, public toilet, umeme na maji unajitegemea, pia hapa kuna maji dawasa na kisima, hapa kuna apartment 2 tu ndani ya fence, Located tabata segerea viwanja vya back dar es salaam

Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii

Matangazo yanayofanana Tabata, Dar Es Salaam

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Kinyerezi Kifuru, Dar Es Salaam

Sh. 200,000/month

  • Paving Blocks

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Public Toilet