Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT zipo 3 tu
Vyumba 2 vyakulala vikubwa sebule kubwa unaweza fanya open kitchen
Public toilet safi ya ndani
Umbali dakika 15 za miguu au boda 1000 Bajaj 800
UMEME LUKU YAKO MAJI pia
Kupelekwa ste 20000 ukilipia mwezi mmoja dalali msigwa
300k miezi 4,5,6
Piga cm 0679 997610















