Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kisota, Kisiwaani, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 200,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Dining
Jiko
Sebule

Maelezo

GOROFA LA
APARTMENT LINAUZWA KIGAMBONI - KISOTA
Fursa adhimu ya uwekezaji Kigamboni! Ghorofa hili lina mfumo wa apartment 4, kila apartment ikiwa na:
Vyumba 2 vya kulala
Sebule kubwa
Dining
V
Jiko
Boma limejengwa kwa ubora mkubwa na lina uwezo wa
kuongezwa hadi floor 3.
Kwa sasa limeandaliwa kwa mfumo wa floor 2.
Eneo la kiwanja ni zaidi ya Sqm 300.
Limepimwa na lina Hati Safi ya Wizara ya Ardhi.
Mita 100 tu kutoka barabara ya lami.
Lipo Kigamboni Kisota upande wa Kisiwaani.
$
Mapato ya upangishaji:
Apartment za kawaida (Unfurnished): Tsh 600,000 -
800,000 kwa mwezi kwa kila nyumba.
Apartment za Furnished: Tsh 1,500,000 - 2,500,000
kwa mwezi kwa kila nyumba.
Bei: Tsh 200,000,000/= (Mazungumzo yapo)
Ni uwekezaji mzuri kwa mapato ya kila mwezi na
ongezeko la thamani ya mali siku zijazo.
Service Charge: Tsh 30,000/= kwa ajili ya kuoneshwa

Matangazo mengine Kisota, Dar es Salaam

Kiwanja kinauzwa Kisota Ushuwani, Dar Es Salaam sqm 750

Sh. 165,000,000

For Sale750 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Kisota, Dar Es Salaam sqm 1000

Sh. 130,000/sqm

For Sale1,000 sqm
Kiwanja kinauzwa Kisota, Dar Es Salaam sqm 1000

Sh. 130,000/sqm

For Sale1,000 sqm
Kiwanja kinauzwa Kisota, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 49,000,000

For Sale400 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Kisota, Dar Es Salaam sqm 300

Sh. 70,000,000

For Sale300 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Kisota Ushuani, Dar Es Salaam sqm 800

Sh. 125,000,000

For Sale800 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Kisota, Dar Es Salaam sqm 1300

Sh. 180,000,000

For Sale1,300 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Kisota, Dar Es Salaam sqm 1300

Sh. 180,000,000

For Sale1,300 sqmNegotiable
Nyumba inauzwa Kisota, Dar Es Salaam

Sh. 180,000,000

For Sale800 sqmhasTitleDeed