Kiwanja kinauzwa Amani, Tanga

video thumbnail
Sh. 26,000

Maelezo

๐ŸŒŸ OFA MAALUM YA KUMILIKI ARDHI ๐ŸŒŸ
Huu ndio wakati sahihi wa kufanya uamuzi utakaokupa amani ya moyo na usalama wa maisha yako ya baadaye. Kupitia ofa hii, unapata nafasi ya kumiliki kiwanja halali, chenye hati na kilichopimwa, kwa bei nafuu kabisa ukilinganisha na thamani yake halisi.

Ardhi ni mali isiyopoteza thamani โ€” badala yake, huongeza thamani kila siku. Leo unanunua kwa ofa, kesho unauza kwa faida au unajenga kwa uhakika bila hofu ya migogoro.

๐Ÿ‘‰ Chukua hatua sasa, kwa sababu ofa hii ni ya muda mfupi.
Nunua leo, wekeza kwa uhakika, na linda kesho yako pamoja na familia yako. MIRADI YETU

๐Ÿ“BUYUNI GULUGWIDA ๐๐„๐€๐‚๐‡๐๐‹๐Ž๐“๐’
๐๐„๐ˆ;๐Œ๐ข๐ญ๐š ๐ฆ๐จ๐ฃ๐š ๐ฒ๐š ๐ฆ๐ซ๐š๐›๐š ๐ง๐ข 26,000/- ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฉ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐‚๐š๐ฌ๐ก ๐š๐ฎ ๐Œ๐ค๐จ๐ฉ๐จ ๐ฆ๐ข๐ž๐ณ๐ข 18

๐Ÿ“BUYUNI (GULUGWIDA MTI MWEUPE)
Km 2 kutoka Baharini
Km 1 kutoka main road
Mita moja ya mraba
Cash sh 16,000 Na
Mita moja ya mraba kwa sh 18000 Installment
Malipo kwa kidogo kidogo ndani ya miezi 24

๐Ÿ“ Ofisi zetu: Makumbusho, Derm Plaza ghorofa ya 11
๐Ÿ“ž+255 748 303 601
#ArdhiSalama #MalipoRahisi #DecemberOffa BuyuniKumenoga AnzaSasa ChukuaHatua