Kiwanja kinauzwa Buswelu, Mwanza

video thumbnail
Sh. 45,000,000

Maelezo

🗣️ KIWANJA KINAUZWA 🌴

📍KIPO BUSWELU KAHAMA CENTER

• Kiwanja kimepimwa (KINA HATI MILIKI)

• Kiwanja ni kizuri sana kwa uwekezaji wowote

• Kinafaa kujenga apartments, lodge, fremu n.k

• Kiwanja Kimetazama Barbara kuu (Soon inawekwa Lami)

• Kiwanja kipo Jirani na center ya Kahama Buswelu Mwanza 🔥

BEI NI MILIONI 45 Tu (Maongezi Yapo Kidogo)

Piga simu kwa maelezo zaidi: 0765430905