Kiwanja kinauzwa Mlandizi, Pwani

video thumbnail
Sh. 18,000,000

Maelezo

🔥 ENEO LINAUZWA – MWANAMBWITO, MLANDIZI 🔥

📍 Mahali:
Mwanambwito – Mlandizi, Wilaya ya Kibaha
Mkoa wa Pwani

🌿 Maelezo ya Eneo:
➡️ Ukubwa: Ekari 2
➡️ Lipo pembezoni mwa bwawa
➡️ Eneo lote pamoja na hifadhi ya bwawa ni zaidi ya ekari 2
➡️ Mazingira mazuri kwa uwekezaji, makazi au miradi ya kitalii

🚗 Umbali:
• KM 12 kutoka Morogoro Road
• KM 2 kutoka Station ya SGR

⚡ Huduma:
✅ Umeme upo

💰 Bei:
➡️ Tsh Milioni 18
🤝 Mazungumzo yapo – leta ofa

📞 Mawasiliano:
☎️ 0784 919 453
☎️ 0658 582 977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq

*SERVICE CHARGE 50,000*

✨ Fursa nzuri ya kuwekeza eneo lenye mvuto wa asili na maendeleo yanayokua!
.

.

.

.

.
.
.
#home #houseforsale #beach #apartments #hotel