Kiwanja kinauzwa Dodoma

 media -1
media -1
Dodoma, Dodoma
16 days ago
Sh. 55,000,000

Ukubwa

600 SQM

Awali

Inaruhusiwa

Maelezo

*KIWANJA CHA TATU LAMI KINAUZWA KISASA NORTH BLOCK D, DODOMA*

Unaweza kulipa kwa awamu mbili.

Kwenye picha hii ya Mtaa ni kiwanja chenye alama Nyekundu

Nicha tatu kutoka lami.

- Kisasa North DODOMA, BLOCK D

- Ukubwa: SQM 600
πŸ“πŸ’΅ *BEI MILIONI 55*

KARIBU TUKUHUDUMIE 🀝