Kiwanja kinauzwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam sqm 360
Kibamba, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 12,000,000
Ukubwa
360 SQM
Barabara ya Karibu
500m
Maelezo
Kwa Bei hiyo unakiachaje Kiwanja hiki
Njoo na Mil 12 tu nakupa Kiwanja hiki
Kina ukubwa wa SQMT 20 × 18
Kinafikika vizuri kabisa
Kipo KIBAMBA SHULE kanisa la KKT umbali wa meter 500 tu kutoka kanisani hapo
Service Charge 30,000
Contact:
+255 (0) 654 101 710
+255 (0) 787 205 300















