Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 25,000 per sqm

Ukubwa

400 SQM

Maelezo

KIGAMBONI MWASONGA(GOLDEN TOUCH PROJECT)

๐Ÿ”‘ Sifa za Mradi

๐Ÿ”นUmbali wa 1KM tu kutoka barabara kuu mpaka site.
๐Ÿ”นBarabara nzuri na za kufikika kwa urahisi.
๐Ÿ”นEneo lenye makazi ya watu tayari.
๐Ÿ”นMji unaokua kwa kasi na kuongezeka kwa thamani ya ardhi kila siku.
โœ… Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu:
โ€ข ๐Ÿซ Shule
โ€ข ๐Ÿฅ Vituo vya afya
โ€ข ๐Ÿ”Œ Umeme
โ€ข ๐ŸŒŠ Maji safi
โ€ข ๐Ÿฉบ Chuo cha Afya kipo jirani na site
๐Ÿ’ฐ Bei
Sqm 1 cash 25,000
Sqm 1 mkopo 30,000

sqm 400 bei 12,000,000
โ€ข Unaanza na 1,200,000
โ€ข inayobaki 10,800,000 unalipa kwa miezi 12:
kila mwezi 900,000

Sqm 500 bei 15,000,000
Unaanza na 1,500,000 inayobaki
13,500,000 unalipa miezi 12
kila mwezi 1,125,000

Sqm 501 bei 15,030,000
Unaanza na 1,503,000 inayobaki 13,527,000 unalipa miezi 12
kila mwezi 1,127,250
โ˜Ž๏ธ0743930000