Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Mwembe Mdogo, Dar Es Salaam sqm 8161

video thumbnail
Sh. 400,000,000

Ukubwa

8161 SQM

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

Eneo Kubwa Nzuri Linauzwa
Mahali: Kigamboni MwembeMdogo

Bei: Milioni 400 (Mazungumzo)

☑️Unatembea Tu Kutoka Lami
☑️Ukubwa: Sqm8161
☑️Hekari 2
☑️Hati Miliki ipo✅
☑️Unamalizia Finishing na Kupangisha Kama hostel
☑️Majirani Wamenyoosha Sana🔥🙌🏻
☑️Panafaa Kwa Uwekezaji Wowote: Kupangisha, Kuweka Bandari kavu Nk