Kiwanja kinauzwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam sqm 720

Huduma na Sifa
Maelezo
Eneo linauzwa mtaa wa kishua sana pamoja na boma la vyumba v2
Lina 40 kwa 18
Kimara mwisho km1 tuu kutoka mwendokas
Barabara imenyooka mpaka kwenye eneo maji na umeme uhukika
Bei 25 inapungua kidogo
Sevchage 30000 kwenda Kuona saity za kununua
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347















