Kiwanja kinauzwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam sqm 1500

Ukubwa
1500 SQM
Barabara ya Karibu
400m — Morogoro Road
Huduma na Sifa
Maelezo
FURSA ADIMU YA UWEKEZAJI - KIMARA TEMBONI.
-Unatafuta Eneo la kufanya Uwekezaji Mkubwa -HOTEL au APARTMENT za kisasa ?
( Hii hapa nafasi ya kipekee usikose )
-----------
Eneo linapatikana kimara Temboni Umbali Mita 400 tu , kutoka Morogoro Road.
-Eneo linaonekana Moja kwa Moja ukiwa barabarani ( high Visibility )
SIFA KUU ZA ENEO :
--------------------------------
a - Lina HATI MILIKI ( TITLE DEED ) usalama wa kisheria umehakikishwa.
b - Lina Mchoro tayari wa ghorofa 10.
C - kibali cha Matumizi UJENZI WA GHOROFA 10.
d - Barabara nzuri hadi site ,hakuna usumbufu wa kufika.
e - Huduma zote Muhimu - Maji & umeme zipo karibu.
f -Eneo linaonekana kiurahisi kutoka barabara kuu - Fursa kubwa ya biashara
--------------------------------
FAIDA ZA UWEKEZAJI :
- Eneo linafaa kwa HOTEL ,APARTMENT ,LODGE AU UWEKEZAJI MKUBWA. - ------------------------------------------
UKUBWA SQM 1 ,500.
HATI MILIKI
BEI MILIONI 250
[ Maongezi yapo ]
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI















