Kiwanja kinauzwa Kisemvule, Pwani

Barabara ya Karibu
2.8km
Maelezo
Ni ndoto ya watu wengi kumiliki nyumba, nawaombea wote wenye ndoto hii Mungu awafanyie wepesi…
Mteja wangu huyu kafanikisha ndoto yake kwenye kiwanja cha milioni moja laki sita
Kinapatikana Kisemvule, km 2.8 kutoka lami…
Na wewe umejipangaje
Tupigie simu/ whatsapp 0785367831















