Kiwanja kinauzwa Pwani

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Pwani
22 days ago
$ 330,468.5

Ukubwa

250 SQM

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA BWEJUU
#unguja #zanzibar

Umbali kuoka Kiwanja kilipo mpaka Barabarani Mita 250

Umbali Kutoka Kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 100

Ukubwa wa Kiwanja Mita 40x16

Bei USD 330,468.5

NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za Kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki Kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka Kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni Mita 100

What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake