Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail

Maelezo

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ MRADI WA VIWANJA โ€“ KIGAMBONI VUMILIA UKOONI (MWEMBEMDOGO) ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“ Viwanja vimepimwa rasmi na vina mawe ya utambuzi kutoka Wizara ya Ardhi โœ”๏ธ

๐Ÿ“ Umbali wa Km 2 tu kutoka barabara kubwa ya Mwembemdogo (chini ya TARURA) iliyo kwenye mpango wa lami ๐Ÿšง

๐Ÿ“ Good neighbourhood โ€“ Majirani ni wafanyakazi wa TPA, eneo tulivu na la hadhi (mji wa kishua) ๐Ÿ˜๏ธ

๐Ÿ“ Karibu na:
โ€ข ๐Ÿฅ City College of Health โ€“ Kigamboni
โ€ข ๐Ÿซ Shule ya Sekondari Ihsan

๐Ÿ“ Huduma zote za kijamii zinapatikana.
๐Ÿ’ง Maji ya kisima ni baridi sana na hayana chumvi kabisa โ„๏ธ

๐Ÿ’ฐ Bei Elekezi kwa SQM:
โ€ข Cash: 18,000/=
โ€ข Installment: 20,000/=

๐Ÿ“ Ukubwa wa kiwanja: Kuanzia 400 SQM

๐Ÿš— Site visit ni BURE kabisa โ€“ KILA SIKU

๐Ÿ“„ Hatimiliki ni uhakika na hupatikana kwa haraka

๐Ÿข Ofisi zetu:
Mwenge โ€“ Bamaga, Dora Tower, Ghorofa ya 4

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi: 0768 579 000