Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1

Maelezo

🔥🔥MRADI WA VIWANJA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO🔥🔥

👉🏽Viwanja vimepimwa na vina MAWE yanayotambulika na wizara ya ardhi

👉🏽2 Km toka Barabara kubwa ya mwembemdogo iliyo chini ya Tarura iliyo kwenye mpango wa Lami.

👉🏽Good neighbourhood (majirani watu wa bandari TPA), kiufupi ni mji wa kishua.

👉🏽Karibu na Chuo cha Afya Kigamboni (City College of Health)

👉🏽Karibu na Shule ya Sekondari Ihsan

👉🏽Huduma za kijamii zipo,uzuri ni kwamba hapa ukichimba kisima maji ni ya baridiiiiiiiiiii hakuna chumvi kabisa.

👉🏽Bei elekezi hapa tumesusa kwa Sqm ;-
Malipo ya cash: 18,000/=
Malipo ya installment : 20,000/=

👉🏽Ukubwa kuanzia 400 SQM

👉🏽Site visit ni bureeee kabisa na ni kila siku .

👉🏽Uzuri ni kwamba kwetu sisi Hatimiliki ni uhakika na kwa haraka.

TUNAPATIKANA MWENGE-BAMAGA JENGO LA DORA TOWER 4th FLOOR

AU TUPIGIE KWA NAMBA 0768579000