Tafuta

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 30,000/sqm

Barabara ya Karibu

200m

Awali

Inaruhusiwa

Maelezo

⚠️ OGOPA MATAPELI WA ARDHI! ⚠️
Kabla hujatoa hela yako ya jasho, hakikisha unanunua kiwanja kilichopimwa na chenye hati halali kutoka Wizara ya Ardhi. Leo watu wengi wamejikuta wakipoteza fedha zao kwa sababu ya kuamini maneno matamu bila kufanya uhakiki sahihi.
Usikubali kuuziwa ahadi zisizo na uthibitisho. Chagua uwekezaji salama utakaoleta amani ya moyo kwako na familia yako.
✅ Kiwanja kilichopimwa
✅ Hati ya Wizara ya Ardhi
✅ Eneo salama na lenye uhakika
✅ Epuka migogoro ya ardhi Mradi
📌Kimbiji kwa Chale
📍 Mita 200 tu kutoka barabara kuu
🌊 Mita 600 kutoka baharini
💰 Bei ni sh 30,000 kwa sqm
✅ Anza na down payment ya 20% tu
📆 Lipa kidogo kidogo hadi miezi 18
📍 BUYUNI (MTI MWEUPE), Kigamboni – Dar es Salaam
✔ Km 2 kutoka Baharini
✔ Km 1 kutoka Barabara kuu
💰 Bei Maalum:
• Tsh 17,000 kwa mita ya mraba (Cash)
• Tsh 19,000 kwa mita ya mraba (Installment)
✔ Malipo kwa awamu hadi miezi 24 Wasiliana nasi: 📞+255 748 303 601 Ofisi zipo 📍Makumbusho jengo la Dermplaza floor ya 11
🍀Kumbuka, ardhi ni mali ya kudumu… usifanye maamuzi ya haraka ukaja kujutia baadaye. Nunua sehemu salama leo na ujenge kesho yako kwa uhakika kupitia Trust Solution Company Ltd. 🌿🏡
#TrustSolution
#UwekezajiWaUhakika
#MilikiArdhiLeo
#ViwanjaSalama
#ArdhiNiMali
FutureInvestment
Kigamboni

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Geza Ulole, Dar Es Salaam sqm 825

Sh. 37,000,000

For Sale825 sqmNegotiable
  • Hati

  • Maji

  • Umeme

Viwanja vinauzwa Mwongozo, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000/sqm

For Sale
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 18,000,000

For Sale
  • Site Visit Bure

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 18,000,000

For Sale
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada Kisarawe, Dar Es Salaam sqm 500

Sh. 13,000,000

For Sale500 sqm
  • Ardhi Iliyopimwa

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Geza Ulole, Dar Es Salaam sqm 825

Sh. 37,000,000

For Sale825 sqmNegotiable
  • Maji

  • Umeme

  • Hati

Beach Plots zinazouzwa Yale Puna, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 81,000,000

For Sale
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Bichi

Beach Plots zinazouzwa Yale Puna, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 81,000,000

For Sale
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Bichi

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

For SaleInstallment
  • Umeme

  • Maji

  • Karibu na Shule

Kiwanja kinauzwa Mjimwema, Kigamboni, Dar Es Salaam (1350 sqm)

Sh. 155,000,000

For Sale1,350 sqmNegotiable
  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Ardhi Iliyopimwa