Viwanja vinauzwa Mwanga, Singida sqm 900


Ukubwa
900 SQM
Barabara ya Karibu
100m
Huduma na Sifa
Maelezo
*MWANGAZA - DODOMA*
Viwanja 9 ( vyenye tiki) vinauzwa
Block CD
Mita 100 kutoka lami inayoenda NJEDENGWA ( vya pili lami)
Ukubwa kuanzia 900 -1500sqm
Pamejengeka sana
Huduma zote zipo
Documents: HATI MILIKI
BEI 80,000Tsh kwa 1SQM
Chagua unachotaka
Picha zaidi inbox








