Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma

video thumbnail
Sh. 13,000,000

Maelezo

Asante mteja kwa kutuamini na kufanya biashara na sisi.✅✅

Viwanja vizuri bado vinapatikana Dodoma mjini

Eneo ni Chidachi Ntyuka ,Karibu na SGR
Viwanja vimebaki viwili

Sqm 564 bei mil 14
Sqm 525 bei mil 13

📌Km 5 kutoka Dodoma mjini
📌Document ni HATI
📌Pamejengeka tayari na majirani wapo
📌Barabara,maji na umeme ni uhakika

Malipo kwa cash na awamu

Mawasiliano : 0768 333 054