Kiwanja kinauzwa Goba Kinzudi Maghorofani, Dar Es Salaam (550 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -5
Sh. 80,000,000

Aina

Kiwanja

Ukubwa

550 SQM

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara
Karibu na Barabara ya Lami
Ardhi Tambarare

Maelezo

Huwenda ukawa unatafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi karibu na lami.

Kiwanja hiki ni chapili kutoka lami. Kwa Hatua 20 tu za mguu

Kipo Goba Kinzudi Maghorofani (U

Kipo barabara.ya mtaa, na kipo tambalale,

kinafikika vizuri sana kwa 100%

Ni SQM 550
BEI: TZS 80 Million (Maongezi yapo)

#luganoorealestateagency #wekezagoba2026 #wekezanasi2026