Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa, Dar Es Salaam (500 sqm)

Aina
Kiwanja
Vyumba
1
Ukubwa
500 SQM
Barabara ya Karibu
1.5km
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA – GOBA KULANGWA 🔥
(NA NYUMBA NDANI)
Fursa hadimu ya uwekezaji!
Kiwanja kinauzwa kikiwa tayari na nyumba ndani, kipo Goba Kulangwa.
📍 Location: Goba Kulangwa
🛣 Umbali: Takriban kilomita 1.5 kutoka barabara ya lami
🚗 Barabara ni rafiki, unafika bila shida mwaka mzima
📐 Ukubwa: SQM 500 (tambarare kabisa)
🏡 Kina nyumba yenye:
* Master bedroom
* Sebule
* Jiko
👉 Unaweza:
* Kuimalizia na kuishi mwenyewe
* Kuipangisha na kuanza kuingiza kipato mara moja
💡 Bonus kubwa:
Kuna nafasi ya kutosha kuongeza nyumba zingine (hadi 5–6 units), hivyo unaweza kujenga apartments/vyumba vya kupangisha na kuwa na kipato cha uhakika kila mwezi 💰
🏘 Mazingira: Tayari yamejengeka, ni sehemu nzuri na tulivu
💰 Bei: Milioni 65 (mazungumzo yapo)
💼 Service charge: TZS 30,000
📞 Piga sasa: +255 688 412 890
Karibu tufanye biashara – hii ni nafasi ya kuwa tajiri kupitia real estate!















