Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kimbiji, Dar Es Salaam (572 sqm)


Aina
Kiwanja
Ukubwa
572 SQM
Barabara ya Karibu
300m
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
572 SQM KIGAMBONI KIMBIJI KWA CHALE 🏡🌴
Unatafuta kiwanja kikubwa kwa ajili ya kujenga nyumba, biashara au uwekezaji wa muda mrefu? Hii ni fursa yako! 🔥
📍 33KM kutoka Ferry
🛣️ 300M kutoka barabara kuu
🏖️ 1.5KM kutoka Beach
📐 572 SQM
💰 BEI YA CASH: TSh 11,440,000
➡️ Malipo ndani ya miezi 6
💳 BEI YA AWAMU: TSh 14,300,000
➡️ Malipo ndani ya miezi 12
Kigamboni Kimbiji inaendelea kukua—nunua ardhi leo, jenga thamani ya kesho. 🌱🏡
📞 Wasiliana na Oasis Real Estate kupitia















