Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Darajani, Dar Es Salaam (500 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 23,000,000

Maelezo

🏡 KIWANJA KINAUZWA – KINYEREZI DARAJANI 🏡

Unatafuta kiwanja kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hii ni fursa nzuri usiyoipaswa kuikosa!

📍 Location: Kinyerezi Darajani, takriban kilomita 1 kutoka Mbuyuni kuelekea Airport.
🛣️ Umbali: Hatua chache tu kutoka barabara ya lami.
📐 Ukubwa: SQM 500
🌿 Mandhari: Tambarare kabisa, tayari kwa ujenzi.

✅ Kinafaa kwa:
• Apartments za kupangisha
• Nyumba za biashara
• Nyumba ya makazi

💰 Bei: TSh 23,000,000 tu.

📄 Nyaraka: Sales Agreement.
💼 Udalali: 10%.

✨ Miliki kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi na lenye fursa kubwa ya maendeleo.

📞 Muhitaji piga simu au WhatsApp:

Dalali Tabata

dalaliwakishua

@dalaliwakishua

View Listings
Dalali Tabata