Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam (300 sqm)

Kinyerezi, Ilala, Dar Es Salaam
28 days ago
Sh. 13,500,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
300 SQM
Barabara ya Karibu
2km
Huduma na Sifa
Ardhi Tambarare
Karibu na Stendi ya Mabasi
Maelezo
๐ก KIWANJA KINAUZWA โ KINYEREZI MWISHO
Unatafuta kiwanja chenye bei nafuu lakini eneo zuri kwa makazi au uwekezaji? Hiki hapa hakikosekani!
๐ Location: Kinyerezi Mwisho
โ
Kilometa 2 tu kutoka stendi
โ
Kinafikika kwa urahisi bila usumbufu
โ
Eneo tambarare
โ
Hakipo bondeni wala karibu na mto
โ
Neighbourhood nzuri na tulivu
๐ Ukubwa: SQM 300
๐ Umiliki: Sales Agreement
๐ฐ Bei: Milioni 13.5 (13,500,000/=)
Kinafaa kwa:
๐ Ujenzi wa makazi binafsi
๐ข Apartments za kupangisha
Fursa hii ni kwa wale wanaotaka kuanza safari ya umiliki wa ardhi kwa gharama nafuu.
Muhitaji piga +255688412890.
Karibu sana ndugu mtendaji tufanye biashara ๐ค
Dalali wako Wakishua ๐ก
