Kiwanja kinauzwa Matemwe Muyuni (4200 sqm)





Pwani
21 days ago
Sh. 30,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
4200 SQM
Barabara ya Karibu
450m
Huduma na Sifa
Karibu na Bichi
Karibu na Barabara
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA MATEMWE MUYUNI
#unguja #zanzibar
Kutoka kiwanja kilipo mpaka Barabarani Mita 450
Kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 700
Ukubwa wa Kiwanja Mita 70x60
Bei Tsh 30 Milioni thelathini
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake
